Mashine za kubahatisha 8 zateketezwa

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjyrt1gf-DGpcn7sEwKaG567QtM-R1m_MitVGnkeUmsHO-8UCH-mSPG38YmZcm0vd0Ip4Xt0e1NcS0_Tq4v8jKzr0wN1pp6W2kDPZbvPvoWtELH1UlJnm1x3RJaXsVXQKyCs6oh0vcyalD6/s1600/1.JPGBodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini imeteketeza mashine thelathini na nane za kuchezesha Bahati Nasibu mjini Dodoma ikiwa ni sehemu ya Mashine 15000 kwa kuendeshwa zikiwa na mapungufu kinyume cha Sheria.

Mkurugenzi Mkuu wa Bodi hiyo TARIMBA ABBASS amesema kuwa Zoezi la kukamata na kuteketeza Mashine hizo lilianza mwishoni mwa mwaka jana baada ya kupokea malalamiko juu ya Mashine hizo na kwamba zoezi hilo ni endelevu, ambapo mpaka sasa zaidi ya Mashine elfu moja na mia tano zimekamatwa na kuteketezwa.

No comments:

Post a Comment

©2015 New Day Pro Media.All Rights Reserved