Harakati za kuifufua TUKUYU STARS zaanza

http://www.tbc.go.tz/news_images/Harakati%20za%20kuifufua%20TUKUYU%20STARS%20zaanza%20-%20TBC%20June%207%202015.jpg
Mkuu wa wilaya ya Rungwe Mwalimu ZAINABU MBUSSI
Mkuu wa wilaya ya Rungwe Mwalimu ZAINABU MBUSSI ameunda Timu ya watu Kumi na watano ambao watamshauri katika mikakati ya kuifufua Timu ya Tukuyu Stars, maarufu kama WANYAMBARA, ili kurejesha heshima ya wanarungwe na mkoa wa Mbeya kwa ujumla.

Mapema mwezi March mwaka huu wakati akiteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Rungwe, amewaambia wapenzi wa soka nchini kwamba atafufua timu hiyo ambayo imewai kuwa Club Bingwa nchini mwaka 1986, na sasa ameaanza kutekeleza ahadi hiyo

No comments:

Post a Comment

©2015 New Day Pro Media.All Rights Reserved