Rais JACOB ZUMA wa AFRIKA KUSINI amesema kuwa FEDHA ZA WALIPA KODI hazistahili kutumika kwa RUSHWA.
Akizungumza katika kongamano la kimataifa la KIUCHUMI, barani AFRIKA linalofanyika mjini CAPE TOWN nchini humo, Rais ZUMA amesema haijalishi udogo au ukubwa wa rushwa , bali kilicho muhimu kwa wananchi ni kuona kuwa serikali husika zinawashughulikia viongozi wala rushwa kwa mujibu wa sheria.
No comments:
Post a Comment