Vodacom wamekusogezea hii nafasi ambayo na wewe unaweza kuishi kistaa mtu wa nguvu !!

Rachel
Ukiwa mteja wa Vodacom hakika kuna mengi mazuri yako karibu na wewe kila wakati.. pata picha unakutana uso kwa uso na staa wako ambae umekuwa unawaza kukutana nae kila siku.

Hiki ni kingine kizuri ambacho Vodacom Tanzania imekibuni kwa ajili yako mtu wa nguvu.

Kama una ndoto za kuonana uso kwa uso na na staa wako lakini umeikosa nafasi ya kuonana na staa huyo, Vodacom imerahisisha njia na sasa hivi ni rahisi kabisa.


Kama na wewe ni mteja wa Vodacom basi unaweza kubonyeza namba 15670 utapata maelekezo, na hiyo itakuwa hatua yako ya kwanza kuelekea kwenye ndoto yako ya kuonana na staa wako na wewe uishi kistaa.
Chanzo millardayo

No comments:

Post a Comment

©2015 New Day Pro Media.All Rights Reserved