Sentensi 3 kutoka kwa Dr. Wilbroad Slaa kuhusu CCM na ubora wake.

Kwenye mkusanyiko wa stori za mitandao ndani ya siku tano zilizopita kutoka kwa walichoandika watu mbalimbali maarufu wa Tanzania, zipo pia hizi tweets za katibu mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbroad Slaa.
Ameandika >>> ‘Siku ambayo Watanzania watatambua kwamba walipaswa kuwa mbali sana kimaendeleo, na kujua kwamba kikwazo ni CCM na kukiondoa haiko mbali, hakuna msafi CCM, wala hii si habari mpya… ubora wa CCM ulizikwa na Azimio la Zanzibar 1994, kwa mara nyingine tena tunapaswa kuamua‘
‘Nashukuru UKAWA kwa imani kubwa. Kazi ya mabadiliko iliyoanza 1992 kwa vyama vingi imebakiza miezi michache kushinda. Kura yako ni ukombozi‘ – Dr. Slaa.

No comments:

Post a Comment

©2015 New Day Pro Media.All Rights Reserved