Most Inc Boyz Kuachia Ngoma Yao Mpya Kichuna Remix..

Most Inc Boyz ambao ni familia ya mziki wanakuja na nyimbo yao mpya Kichuna remix.
Alipo piga story na New Day Taarifa muwakilishi wa Most Inc Family, Gorko Flow alisema,

''Most Inc Boyz ni kama familia inawatu wengi lakini kwa tunaoimba ni wanne ambao ni Gorko flow, Kisabari, Lastie Bone na Damost ingawa mtu wa tano atatambulishwa hivi kalibuni,
Kichuna remix imefanyika Most Inc Production imeshirikisha wasanii sita ambao ni Gorko flow, Lastiebone Dr fazi Dullayo Phiner na Damost
Track inatoka tar 16/10  inamilikiwa na Most Inc Boyz, Sababu kubwa ni kuongeza Fan Base. Unajua sisi ni kundi jipya kwaiyo tuna track moja tu hewani kwaiyo kichuna remix inatuongezea wigo mkubwa wa mashabiki sababu ni track Kali pia imeshirikisha wasanii wengi na wakali pia''.

Na Tulipo Ongea Nae Kuhusu Utaratibi Wa Most Inc Boys Kutoa Nyimbo Akasema,
''Utaratibu tulio weka ni kutoa track kila baada ya miezi miwili nikilewa ilitoka tarehe 18/8 ko miez miwili imefika lengo kubwa ni kupata nafasi ya kuachia track kama solo artist pia''

Na Mwisho Akawashukuru Mashabiki wao wote kwa kusema,
 ''Napenda kuwashukuru wote wanaotuunga mkono hatuta waangusha pia kwa mashabiki wa Gorko flow nyimbo yangu na suma mnazaleti imekamilika kwaiyo wajiandae kuipokea baada ya project ya most inc boyz''....

No comments:

Post a Comment

©2015 New Day Pro Media.All Rights Reserved