Clouds Fm Fiesta Mbeya 2016, Yawafikia Wasanii Wa Nyumbani..

Selementally

                                       Clouds Fm Fiesta 2016 ''Immooooooooooooooo''

Iyo Ndio Kauli Mbiu ya Fiesta Mwaka Huu Ambapo Sasa Ni Zamu Ya Mbeya [Green Cicty],
Clouds Fm Yawafikia Wasinii Wa Hapa Nyumbani Kwaajili Ya Kupiga Nao Story Kuhusu Show Hii Ya Fiesta Mbeya 2016..
Fiesta Mbeya Itafanyika Tarehe 16 Mwezi Huu Wa Kumi Ndani Ya Viwanja Vya Sokoine Ikiwa Na Kiingilio Cha Shilingi Elfu Kumi Tu..
Moja ya Wasanii Walio Tembelewa Na Clouds Fm Ni Pamoja Na Selementally Ambae Anatokea M.C.B.
 Na Kupiga Story Mingi mingi Juu Ya Mziki Anaofanya Kiujumla. Selementally Ni moja Ya Wasanii Watakao Perfome Katika Show Kubwa Ya Fiesta 2016 Mbeya...

Nolesy

Pia Clouds Fm Walifanikiwa Kukutana Na Msanii Anae Toka Green Records Nolesy.
Nae Pia Walipiga Story Mbalimbali Kuhusiana Na Jinsi Walivojiandaa Na Show Y a Fiesta Mwaka Huu 2016...

Kwa Story Zaidi Kuhusu Show Hii Kaa Nasi New Day Taarifa,..

No comments:

Post a Comment

©2015 New Day Pro Media.All Rights Reserved