Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na kufanya mazungumzomna Spika wa Bunge
la Finland Mhe. Maria Lohela siku alipotembelea bunge la nchi hiyo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mabalozi wa sasa na wa zamani waliopata kuiwakilisha Finland nchini Tanzania.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watanzania waishio Finland.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi mkuu wa SIDA Bw.
Torbjorn Petterson makao makuu ya shirika hilo la maendeleo la Sweden
jijini Stockholm.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wafanyakazi wa SIDA katika makao
makuu ya shirika hilo la maendeleo la Sweden jijini Stockholm.
CREDIT TO ISSA MICHUZI
No comments:
Post a Comment